Tuesday, September 23, 2014

OUR NEW VIDEO: PAPAA MAFIDO - MY STORY

Unamkumbuka jamaa wa Oldi Skuli kwenye Epiq BSS??
Chukua mda wako na utazame video yake mpya iliyofanywa na Good Pictures Lab Arusha.
Mzigo unakwenda kwa jina "MY STORY", kazi iliyofanya na DM Records. Nyimbo aliyoelezea maisha halisi ya watoto wa kihuni wasiopenda shule kwa kutokujua maana ya na kujikita kwenye makundi mabaya.


Dont Forget to subscribe. SAMBAZA UPENDO.

0 comments:

Post a Comment